Psalms 86:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uyahifadhi maisha yangu maana mimi ni mchaji wako; uniokoe mimi mtumishi wako ninayekutegemea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Linda maisha yangu, kwa maana nimejiweka kwako, wewe ni Mungu wangu, mwokoe mtumishi wako anayekutumaini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Unihifadhi nafsi yangu, Maana mimi ni mcha Mungu. Wewe uliye Mungu wangu, Umwokoe mtumishi wako anayekutumaini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uyahifadhi maisha yangu maana mimi ni mchaji wako; uniokoe mimi mtumishi wako ninayekutegemea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Linda maisha yangu, kwa maana nimejiweka kwako, wewe ni Mungu wangu, mwokoe mtumishi wako anayekutumaini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Linda maisha yangu, kwa maana nimejiweka kwako, wewe ni Mungu wangu, mwokoe mtumishi wako anayekutumaini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Unihifadhi nafsi yangu, Maana mimi ni mcha Mungu. Wewe uliye Mungu wangu, Umwokoe mtumishi wako anayekutumaini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uyahifadhi maisha yangu maana mimi ni mchaji wako; uniokoe mimi mtumishi wako ninayekutegemea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ilinde roho yangu! Kwani mimi ninakucha. Wewe Mungu wangu, mwokoe mtumishi wako aliyekuegemea!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Unihifadhi nafsi yangu, Maana mimi ni mcha Mungu. Wewe uliye Mungu wangu, Umwokoe mtumishi wako anayekutumaini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulinde maisha yangu maana mimi ni mwaminifu mbele yako; uniokoe mimi mutumishi wako ninayekutegemea.