Psalms 86:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe ni Mungu wangu; basi, unionee huruma, maana nakulilia mchana kutwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Bwana, nihurumie mimi, kwa maana ninakuita mchana kutwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe, Bwana, unifadhili, Maana nakulilia Wewe mchana kutwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe ni Mungu wangu; basi, unionee huruma, maana nakulilia mchana kutwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, nihurumie mimi, kwa maana ninakuita mchana kutwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, nihurumie mimi, kwa maana ninakuita mchana kutwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe, Bwana, unifadhili, Maana nakulilia Wewe mchana kutwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe ni Mungu wangu; basi, unionee huruma, maana nakulilia mchana kutwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe Bwana, nihurumie! Kwani ninakulilia mchana kutwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe, Bwana, unifadhili, Maana nakulilia Wewe mchana kutwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe ni Mungu wangu; basi, unionee huruma, maana ninakulilia muchana kutwa.