Psalms 86:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uifurahishe roho yangu mimi mtumishi wako, maana sala zangu nazielekeza kwako ee Bwana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpe mtumishi wako furaha, kwa kuwa kwako wewe, Ee Bwana, ninainua nafsi yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uifurahishe nafsi ya mtumishi wako, Maana nafsi yangu nakuinulia Wewe, Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uifurahishe roho yangu mimi mtumishi wako, maana sala zangu nazielekeza kwako ee Bwana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpe mtumishi wako furaha, kwa kuwa kwako wewe, Ee BWANA, ninainua nafsi yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpe mtumishi wako furaha, kwa kuwa kwako wewe, Ee bwana, ninainua nafsi yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uifurahishe nafsi ya mtumishi wako, Maana nafsi yangu nakuinulia Wewe, Bwana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uifurahishe roho yangu mimi mtumishi wako, maana sala zangu nazielekeza kwako ee Bwana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho ya mtumishi wako ifurahishe! Kwani ninakuinulia roho yangu, ikutazamie, Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uifurahishe nafsi ya mtumishi wako, Maana nafsi yangu nakuinulia Wewe, Bwana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Bwana wetu, ninakutolea moyo wangu. Ufurahishe roho yangu mimi mutumishi wako.