Psalms 86:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, uitegee sikio sala yangu; ukisikie kilio cha ombi langu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, sikia maombi yangu, sikiliza kilio changu unihurumie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, uyasikie maombi yangu; Uisikilize sauti ya dua zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, uitegee sikio sala yangu; ukisikie kilio cha ombi langu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, sikia maombi yangu, sikiliza kilio changu unihurumie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, sikia maombi yangu, sikiliza kilio changu unihurumie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, uyasikie maombi yangu; Uisikilize sauti ya dua zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, uitegee sikio sala yangu; ukisikie kilio cha ombi langu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sikia, Bwana, ninayokuomba! Sauti ya malalamiko yangu itegee masikio!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, uyasikie maombi yangu; Uisikilize sauti ya dua zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, utegee maombi yangu sikio; usikilize kilio cha ombi langu.