Psalms 86:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku za taabu nakuita, maana wewe waniitikia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku ya shida yangu nitakuita, kwa maana wewe utanijibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku ya mateso yangu nitakuita, Kwa maana utaniitikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku za taabu nakuita, maana wewe waniitikia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku ya shida yangu nitakuita, kwa maana wewe utanijibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku ya shida yangu nitakuita, kwa maana wewe utanijibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku ya mateso yangu nitakuita, Kwa maana utaniitikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku za taabu nakuita, maana wewe waniitikia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku, ninaposongeka, ninakuita, kwani unaniitikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku ya mateso yangu nitakuita, Kwa maana utaniitikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku za taabu ninakuita, maana wewe unaniitikia.