Psalms 86:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Bwana, hakuna Mungu aliye kama wewe; hakuna awezaye kufanya unayofanya wewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Bwana, katikati ya miungu hakuna kama wewe, hakuna matendo ya kulinganishwa na yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katikati ya miungu hakuna kama Wewe, Bwana, Wala matendo mfano wa matendo yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Bwana, hakuna Mungu aliye kama wewe; hakuna awezaye kufanya unayofanya wewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, katikati ya miungu hakuna kama wewe, hakuna matendo ya kulinganishwa na yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, katikati ya miungu hakuna kama wewe, hakuna matendo ya kulinganishwa na yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katikati ya miungu hakuna kama Wewe, Bwana, Wala matendo mfano wa matendo yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Bwana, hakuna Mungu aliye kama wewe; hakuna awezaye kufanya unayofanya wewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miongoni mwa miungu hayumo aliye kama wewe, Bwana, hayumo awezaye kufanya matendo kama yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katikati ya miungu hakuna kama Wewe, Bwana, Wala matendo mfano wa matendo yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Bwana, hakuna mungu mwingine anayekuwa kama wewe; hakuna anayeweza kufanya unayofanya wewe.