Psalms 86:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mataifa yote uliyoyaumba, yatakuja kukuabudu, ee Bwana; yatatangaza ukuu wa jina lako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Bwana, mataifa yote uliyoyafanya yatakuja na kuabudu mbele zako; wataliletea utukufu jina lako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mataifa yote uliowafanya watakuja; Watakusujudia Wewe, Bwana, Watalitukuza jina lako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mataifa yote uliyoyaumba, yatakuja kukuabudu, ee Bwana; yatatangaza ukuu wa jina lako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, mataifa yote uliyoyafanya yatakuja na kuabudu mbele zako; wataliletea utukufu jina lako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, mataifa yote uliyoyafanya yatakuja na kuabudu mbele zako; wataliletea utukufu jina lako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mataifa yote uliyoyaumba watakuja; Watakusujudia Wewe, Bwana, Watalitukuza jina lako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mataifa yote uliyoyaumba, yatakuja kukuabudu, ee Bwana; yatatangaza ukuu wa jina lako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wamizimu wote, uliowafanya, watakuja, wakuangukie, nalo Jina lako, Bwana, watalitukuza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mataifa yote uliowafanya watakuja; Watakusujudia Wewe, Bwana, Watalitukuza jina lako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mataifa yote uliyoumba, yatakuja kukuabudu, ee Bwana; yatatangaza ukubwa wa jina lako.