Psalms 87:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Wakorahi. Wimbo) Mungu amejenga mji wake juu ya mlima wake mtakatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ameuweka msingi wake katika mlima mtakatifu;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msingi wake upo Juu ya milima mitakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu amejenga mji wake juu ya mlima wake mtakatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi. Wimbo Wa Wana Wa Kora) Ameuweka msingi wake katika mlima mtakatifu;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ameuweka msingi wake katika mlima mtakatifu;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msingi wake upo Juu ya milima mitakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu amejenga mji wake juu ya mlima wake mtakatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ulijengwa na kushikizwa kwenye milima iliyo mitakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msingi wake upo Juu ya milima mitakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi ya Wakora: Wimbo. Mungu amejenga muji wake juu ya mulima wake mutakatifu.