Psalms 87:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu anaupenda mji wa Siyoni, kuliko makao mengine ya Yakobo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu anayapenda malango ya Sayuni kuliko makao yote ya Yakobo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ayapenda malango ya Sayuni Kuliko maskani zote za Yakobo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu anaupenda mji wa Siyoni, kuliko makao mengine ya Yakobo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA anayapenda malango ya Sayuni kuliko makao yote ya Yakobo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana anayapenda malango ya Sayuni kuliko makao yote ya Yakobo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ayapenda malango ya Sayuni Kuliko maskani zote za Yakobo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu anaupenda mji wa Siyoni, kuliko makao mengine ya Yakobo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana huipenda milango wa Sioni kuliko makao yote ya Yakobo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ayapenda malango ya Sayuni Kuliko maskani zote za Yakobo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anapenda Sayuni, kuliko makao mengine ya Yakobo.