Psalms 87:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mambo ya fahari yanasemwa juu yako, ee mji wa Mungu:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mambo matukufu yanasemwa juu yako, ee mji wa Mungu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umetajwa kwa mambo matukufu, Ee Mji wa Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mambo ya fahari yanasemwa juu yako, ee mji wa Mungu:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mambo matukufu yanasemwa juu yako, Ee mji wa Mungu:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mambo matukufu yanasemwa juu yako, ee mji wa Mungu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mambo makuu yanasemwa kukuhusu, Ee Mji wa Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mambo ya fahari yanasemwa juu yako, ee mji wa Mungu:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mambo yenye utukufu hutangazwa mwako ulio mji wa Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umetajwa kwa mambo matukufu, Ee Mji wa Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee muji wa Mungu, mambo ya utukufu yanasemwa juu yako.