Psalms 87:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Miongoni mwa wale wanijuao mimi, wapo watu wa Misri na Babuloni. Kadhalika Filistia, Tiro na Kushi, wote walizaliwa kwako!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nitaweka kumbukumbu ya Rahabu na Babeli miongoni mwa wale wanaonikubali mimi: Ufilisti pia na Tiro, pamoja na Kushi, nami nitasema, ‘Huyu alizaliwa Sayuni.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitataja Rahabu na Babeli Miongoni mwao wanaonijua. Tazama Filisti, na Tiro, na Kushi; Huyu alizaliwa humo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Miongoni mwa wale wanijuao mimi, wapo watu wa Misri na Babuloni. Kadhalika Filistia, Tiro na Kushi, wote walizaliwa kwako!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nitaweka kumbukumbu ya Rahabu na Babeli miongoni mwa wale wanaonikubali mimi: Ufilisti pia na Tiro, pamoja na Kushi, nami nitasema, ‘Huyu alizaliwa Sayuni.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nitaweka kumbukumbu ya Rahabu na Babeli miongoni mwa wale wanaonikubali mimi: Ufilisti pia na Tiro, pamoja na Kushi, nami nitasema, ‘Huyu alizaliwa Sayuni.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitataja Rahabu na Babeli Miongoni mwao wanaonijua. Tazama Filistia, na Tiro, na Kushi; Wanasema, Huyu alizaliwa humo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Miongoni mwa wale wanijuao mimi, wapo watu wa Misri na Babuloni. Kadhalika Filistia, Tiro na Kushi, wote walizaliwa kwako!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitakumbusha Rahabu na Badeli miongoni mwao wanijuao, waliozaliwa mumo humo watazameni: wamo Wafilisti na Watiro, hata Wanubi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitataja Rahabu na Babeli Miongoni mwao wanaonijua. Tazama Filisti, na Tiro, na Kushi; Huyu alizaliwa humo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kati ya wale wanaonijua mimi, kuna Wamisri na Wababeli. Vilevile Wafilistini, Watiro na Waetiopia. Wanasema: “Huyu amezaliwa kule.”