Psalms 87:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na kuhusu Siyoni itasemwa: “Siyoni ni mama wa huyu na huyu; Mungu Mkuu atauthibitisha.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhusu Sayuni itasemwa hivi, “Huyu na yule walizaliwa humo, naye Aliye Juu Sana mwenyewe atamwimarisha.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, mintarafu Sayuni itasemwa, Huyu na huyu alizaliwa humo. Na Yeye Aliye juu Ataufanya imara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na kuhusu Siyoni itasemwa: “Siyoni ni mama wa huyu na huyu; Mungu Mkuu atauthibitisha.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhusu Sayuni itasemwa hivi, “Huyu na yule walizaliwa humo, naye Aliye Juu Sana mwenyewe atamwimarisha.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhusu Sayuni itasemwa hivi, “Huyu na yule walizaliwa humo, naye Aliye Juu Sana mwenyewe atamwimarisha.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, kuhusu Sayuni yatasemwa, Huyu na huyu alizaliwa humo. Na Yeye Aliye Juu Atauimarisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na kuhusu Siyoni itasemwa: “Siyoni ni mama wa huyu na huyu; Mungu Mkuu atauthibitisha.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sioni hutukuzwa kwamba: Watu wa makabila yote huzaliwa mle! Naye Alioko huko juu ndiye anayeushupaza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, mintarafu Sayuni itasemwa, Huyu na huyu alizaliwa humo. Na Yeye Aliye juu Ataufanya imara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini juu ya Sayuni itasemwa: “Sayuni ni mama yao wote; Mungu Mukubwa atauimarisha.”