Psalms 87:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ataandika katika kitabu, atakapoorodhesha watu: “Huyu amezaliwa huko!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ataandika katika orodha ya mataifa: “Huyu alizaliwa Sayuni.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana atahesabu, awaandikapo mataifa, Huyu alizaliwa humo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ataandika katika kitabu, atakapoorodhesha watu: “Huyu amezaliwa huko!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ataandika katika orodha mataifa: “Huyu alizaliwa Sayuni. ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ataandika katika orodha ya mataifa: “Huyu alizaliwa Sayuni.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ataweka kumbukumbu, awaandikapo mataifa, Huyu alizaliwa humo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ataandika katika kitabu, atakapoorodhesha watu: “Huyu amezaliwa huko!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akiyahesabu makabila ya watu ataandika kwamba: Fulani na fulani walizaliwa mlemle.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA atahesabu, awaandikapo mataifa, Huyu alizaliwa humo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe atakapohesabu watu, ataandika hivi katika kitabu: “Huyu amezaliwa kule!”