Psalms 87:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote wanacheza ngoma na kuimba: “Siyoni, chanzo chetu ni kwako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watakapokuwa wanapiga vinanda wataimba, “Chemchemi zangu zote ziko kwako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waimbao na wachezao na waseme, Visima vyangu vyote vimo mwako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote wanacheza ngoma na kuimba: “Siyoni, chanzo chetu ni kwako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watakapokuwa wanapiga vinanda wataimba, “Chemchemi zangu zote ziko kwako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watakapokuwa wanapiga vinanda wataimba, “Chemchemi zangu zote ziko kwako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waimbao na wachezao ngoma na waseme, Visima vyangu vyote vimo mwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote wanacheza ngoma na kuimba: “Siyoni, chanzo chetu ni kwako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wenyewe watacheza ngoma pamoja na kuimba: Visima vyangu vyote vimo mwako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waimbao na wachezao na waseme, Visima vyangu vyote vimo mwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote wanacheza ngoma na kuimba: “Sayuni shina letu ni kwako.”