Psalms 88:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Wimbo. Zaburi ya Wakorahi. Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Mahalathi Nealothi. Utenzi wa Hemani Mwezrahi) Ee Mwenyezi-Mungu, mwokozi wangu, ninalia mchana kutwa, na usiku nakulalamikia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, Mungu uniokoaye, nimelia mbele zako usiku na mchana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, Mungu wa wokovu wangu Mchana na usiku nimelia mbele zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, mwokozi wangu, ninalia mchana kutwa, na usiku nakulalamikia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, Mungu uniokoaye, nimelia mbele zako usiku na mchana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, Mungu uniokoaye, nimelia mbele zako usiku na mchana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, Mungu wa wokovu wangu Mchana na usiku nimelia mbele zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, mwokozi wangu, ninalia mchana kutwa, na usiku nakulalamikia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wimbo wa wana wa Kora, waliomtungia mwimbishaji, auimbishe kama wimbo wa kwamba: Ugonjwa huinamisha. Fundisho la Hemani aliye wa ukoo wa Ezera.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, Mungu wa wokovu wangu Mchana na usiku nimelia mbele zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Zaburi ya Wakora: Kwa mutindo wa wimbo wa huzuni. Mashairi ya Hemani Mwezra.