Psalms 88:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, wewe huwatendea wafu maajabu yako? Je, mizimu hufufuka na kukusifu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, wewe huwaonesha wafu maajabu yako? Je, wale waliokufa huinuka na kukusifu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wafu je! Utawafanyia miujiza? Au waliofariki watasimama na kukuhimidi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, wewe huwatendea wafu maajabu yako? Je, mizimu hufufuka na kukusifu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, huwaonyesha wafu maajabu yako? Je, wale waliokufa huinuka na kukusifu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, wewe huwaonyesha wafu maajabu yako? Je, wale waliokufa huinuka na kukusifu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Wafu utawafanyia miujiza? Au waliofariki watasimama na kukuhimidi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, wewe huwatendea wafu maajabu yako? Je, mizimu hufufuka na kukusifu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Macho yangu yamefifizwa kwa kuumia, ninakulilia, Bwana, mchana kutwa na kukunyoshea wewe mikono yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wafu je! Utawafanyia miujiza? Au waliofariki watasimama na kukuhimidi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Macho yangu yamefifia kwa huzuni. Kila siku ninakulilia, ee Yawe. Ninakunyooshea mikono yangu.