Psalms 88:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, fadhili zako zinatajwa kaburini, au uaminifu wako kwenye makao ya maangamizi?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, upendo wako hutangazwa kaburini, uaminifu wako katika Uharibifu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Fadhili zako zitasimuliwa kaburini? Au uaminifu wako katika uharibifu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, fadhili zako zinatajwa kaburini, au uaminifu wako kwenye makao ya maangamizi?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, upendo wako hutangazwa kaburini, uaminifu wako katika uharibifu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, upendo wako hutangazwa kaburini, uaminifu wako katika Uharibifu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Fadhili zako zitasimuliwa kaburini? Au uaminifu wako katika uharibifu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, fadhili zako zinatajwa kaburini, au uaminifu wako kwenye makao ya maangamizi?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Utafanya kioja kwenye wafu? Au vivuli vitainuka, vikushukuru?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Fadhili zako zitasimuliwa kaburini? Au uaminifu wako katika uharibifu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe unawatendea wafu maajabu yako? Waliokufa wanafufuka na kukusifu?