Psalms 88:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, maajabu yako yanajulikana humo gizani, au wema wako katika nchi ya waliosahauliwa?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, maajabu yako hujulikana mahali pa giza, au matendo yako ya haki katika nchi ya usahaulifu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miujiza yako itajulikana gizani? Au haki yako katika nchi ya usahaulifu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, maajabu yako yanajulikana humo gizani, au wema wako katika nchi ya waliosahauliwa?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, maajabu yako hujulikana mahali pa gizani, au matendo yako ya haki katika nchi ya usahaulifu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, maajabu yako hujulikana mahali pa giza, au matendo yako ya haki katika nchi ya usahaulifu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miujiza yako itajulikana gizani? Au haki yako katika nchi ya usahaulifu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, maajabu yako yanajulikana humo gizani, au wema wako katika nchi ya waliosahauliwa?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Mambo ya upole wako yanasimuliwa makaburini? Au mambo ya welekevu wako yanasimuliwa kuzimuni?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miujiza yako itajulikana gizani? Au haki yako katika nchi ya usahaulifu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wema wako unatajwa ndani ya kaburi, au uaminifu wako katika shimo la kuangamia?