Psalms 88:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mimi nakulilia, ee Mwenyezi-Mungu; kila asubuhi nakuletea ombi langu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ninakulilia wewe, Ee Mwenyezi Mungu, unisaidie; asubuhi maombi yangu huja mbele zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mimi nimekulilia Wewe, Bwana, Na asubuhi maombi yangu yatakuwasilia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mimi nakulilia, ee Mwenyezi-Mungu; kila asubuhi nakuletea ombi langu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ninakulilia wewe, Ee BWANA unisaidie, asubuhi maombi yangu huja mbele zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ninakulilia wewe, Ee bwana, unisaidie; asubuhi maombi yangu huja mbele zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mimi nimekulilia Wewe, BWANA, Na asubuhi maombi yangu yatakuwasilia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mimi nakulilia, ee Mwenyezi-Mungu; kila asubuhi nakuletea ombi langu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Vioja vyako vinatambulikana kwenye giza? Au wongofu wako katika nchi ikaayo walioyasahau yote?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mimi nimekulilia Wewe, BWANA, Na asubuhi maombi yangu yatakuwasilia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maajabu yako yanajulikana humo katika giza, au matendo yako ya haki katika inchi ya waliosahauliwa?