Psalms 88:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbona ee Mwenyezi-Mungu wanitupilia mbali? Kwa nini unanificha uso wako?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, kwa nini unanikataa na kunificha uso wako?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, kwa nini kuitupa nafsi yangu, Na kunificha uso wako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbona ee Mwenyezi-Mungu wanitupilia mbali? Kwa nini unanificha uso wako?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, kwa nini unanikataa na kunificha uso wako?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, kwa nini unanikataa na kunificha uso wako?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, kwa nini kuitupa nafsi yangu, Na kunificha uso wako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbona ee Mwenyezi-Mungu wanitupilia mbali? Kwa nini unanificha uso wako?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mimi ninakupigia kelele wewe, Bwana, malalamiko yangu hufika kwako asubuhi na mapema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, kwa nini kuitupa nafsi yangu, Na kunificha uso wako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi ninakulilia, ee Yawe. Kila asubui ninakuletea ombi langu.