Psalms 88:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yananizunguka kama mafuriko mchana kutwa; yananizingira yote kwa pamoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mchana kutwa zinanizunguka kama mafuriko; zimenimeza kabisa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yamenizunguka kama maji mchana kutwa, Yamenisonga yote pamoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yananizunguka kama mafuriko mchana kutwa; yananizingira yote kwa pamoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mchana kutwa zinanizunguka kama mafuriko; zimenimeza kabisa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mchana kutwa zinanizunguka kama mafuriko; zimenimeza kabisa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yamenizunguka kama mafuriko mchana kutwa, Yamenisonga kwa kila upande.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yananizunguka kama mafuriko mchana kutwa; yananizingira yote kwa pamoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Makali yako yenye moto yamenikwelea, matetemeko yako yakanizimisha roho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yamenizunguka kama maji mchana kutwa, Yamenisonga yote pamoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kasirani yako imeniwakia; mashambulio yako ya kutisha yananiangamiza.