Psalms 88:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umewafanya rafiki na wenzangu wote waniepe; giza ndilo limekuwa mwenzangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umeniondolea rafiki na wapendwa wangu; giza limekuwa rafiki yangu wa karibu kuliko wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpenzi na rafiki umewatenga nami, Nao wanijuao wamo gizani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umewafanya rafiki na wenzangu wote waniepe; giza ndilo limekuwa mwenzangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umeniondolea marafiki na wapendwa wangu; giza limekuwa ndilo rafiki yangu wa karibu kuliko wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umeniondolea marafiki na wapendwa wangu; giza limekuwa ndilo rafiki yangu wa karibu kuliko wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpenzi na rafiki umewatenga nami, Nao wanijuao wamo gizani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umewafanya rafiki na wenzangu wote waniepe; giza ndilo limekuwa mwenzangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yalinizunguka siku zote kama maji, yakanizinga na kunisonga pawapo pote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpenzi na rafiki umewatenga nami, Nao wanijuao wamo gizani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yananizunguka kama mafuriko muchana kutwa; yananizunguka yote pamoja.