Psalms 88:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maafa mengi yamenipata, nami niko karibu kufa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana nafsi yangu imejaa taabu, na maisha yangu yanakaribia kaburi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana nafsi yangu imeshiba taabu, Na uhai wangu umekaribia kuzimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maafa mengi yamenipata, nami niko karibu kufa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana nafsi yangu imejaa taabu, na maisha yangu yanakaribia kaburi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana nafsi yangu imejaa taabu, na maisha yangu yanakaribia kaburi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana nafsi yangu imeshiba taabu, Na uhai wangu umekaribia kuzimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maafa mengi yamenipata, nami niko karibu kufa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
sharti yafike kwako malalamiko yangu. Liinamishe sikio lako, nikikupigia kelele!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana nafsi yangu imeshiba taabu, Na uhai wangu umekaribia kuzimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maombi yangu yakufikie, usikilize kilio changu.