Psalms 88:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninaonekana kama mtu anayekufa, nguvu zangu zote zimeniishia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimehesabiwa miongoni mwa wale wanaoshuka shimoni; niko kama mtu asiye na nguvu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimehesabiwa pamoja nao washukao shimoni; Nimekuwa kama mtu asiye na msaada.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninaonekana kama mtu anayekufa, nguvu zangu zote zimeniishia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimehesabiwa miongoni mwa wale waendao shimoni, niko kama mtu asiye na nguvu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimehesabiwa miongoni mwa wale waendao shimoni, niko kama mtu asiye na nguvu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimehesabiwa pamoja nao washukao shimoni; Nimekuwa kama mtu asiye na msaada.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninaonekana kama mtu anayekufa, nguvu zangu zote zimeniishia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani roho yangu imeshiba kwa kuona mabaya, uzima wangu umekwisha, kuzimu kumenijia karibu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimehesabiwa pamoja nao washukao shimoni; Nimekuwa kama mtu asiye na msaada.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hasara inanipita kipimo, nami niko karibu kufa.