Psalms 88:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umenitupa katika kina cha kaburi; katika sehemu za giza na kina kikuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umenitupa katika shimo lenye kina kirefu sana, katika vina vya giza nene.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi umenilaza katika shimo la chini, Katika mahali penye giza vilindini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umenitupa katika kina cha kaburi; katika sehemu za giza na kina kikuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umenitupa katika shimo lenye kina kirefu sana, katika vina vya giza nene.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umenitupa katika shimo lenye kina kirefu sana, katika vina vya giza nene.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi umenilaza chini katika shimo, Katika mahali penye giza vilindini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umenitupa katika kina cha kaburi; katika sehemu za giza na kina kikuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kilalo changu kiko kwao waliokwisha kufa, ninafanana nao waliouawa vitani walalao makaburini; huwakumbuki tena waliokwisha kutengwa, watoke mkononi mwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi umenilaza katika shimo la chini, Katika mahali penye giza vilindini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninahesabiwa kati ya wafu, kama waliouawa, wanaokuwa katika kaburi, kama wale ambao hauwakumbuki tena, ambao wametengwa na ulinzi wako.