Psalms 88:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hasira yako imenilemea; umenisonga kwa mawimbi yako yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ghadhabu yako imekuwa nzito juu yangu, umenigharikisha kwa mawimbi yako yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ghadhabu yako imenilemea, Umenitesa kwa mawimbi yako yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hasira yako imenilemea; umenisonga kwa mawimbi yako yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ghadhabu yako imekuwa nzito juu yangu, umenigharikisha kwa mawimbi yako yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ghadhabu yako imekuwa nzito juu yangu, umenigharikisha kwa mawimbi yako yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ghadhabu yako imenilemea, Umenitesa kwa mawimbi yako yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hasira yako imenilemea; umenisonga kwa mawimbi yako yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Umenilaza shimoni ndani ya nchi kwenye giza lililomo humo kuzimuni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ghadhabu yako imenilemea, Umenitesa kwa mawimbi yako yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umenitupa mbali katika shimo la wafu, katika giza kubwa.