Psalms 88:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umewafanya rafiki zangu waniepe, umenifanya kuwa chukizo kwao. Nimefungwa ndani, wala siwezi kutoroka;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umenitenga na rafiki zangu wa karibu na kunifanya chukizo kwao. Nimezuiliwa, wala siwezi kutoroka;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanijuao umewatenga nami; Umenifanya kuwa chukizo kwao; Nimefungwa wala siwezi kutoka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umewafanya rafiki zangu waniepe, umenifanya kuwa chukizo kwao. Nimefungwa ndani, wala siwezi kutoroka;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umenitenga na rafiki zangu wa karibu kuliko wote na kunifanya wanisukumie mbali. Nimezuiliwa wala siwezi kutoroka;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umenitenga na rafiki zangu wa karibu na kunifanya chukizo kwao. Nimezuiliwa, wala siwezi kutoroka;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanijuao umewatenga nami; Umenifanya kuwa chukizo kwao; Nimefungwa wala siwezi kutoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umewafanya rafiki zangu waniepe, umenifanya kuwa chukizo kwao. Nimefungwa ndani, wala siwezi kutoroka;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Makali yako yamenilemea, mawimbi yako yote yamenikwelea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanijuao umewatenga nami; Umenifanya kuwa chukizo kwao; Nimefungwa wala siwezi kutoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hasira yako imenilemea; umenisonga kwa zoruba yako yote.