Psalms 88:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
macho yangu yamefifia kwa huzuni. Kila siku nakulilia, ee Mwenyezi-Mungu; ninakunyoshea mikono yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nuru ya macho yangu imefifia kwa ajili ya huzuni. Ee Mwenyezi Mungu, ninakuita kila siku, ninakunyooshea wewe mikono yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jicho langu limefifia kwa ajili ya mateso Bwana, nimekuita kila siku; Nimekunyoshea Wewe mikono yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
macho yangu yamefifia kwa huzuni. Kila siku nakulilia, ee Mwenyezi-Mungu; ninakunyoshea mikono yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nuru ya macho yangu imefifia kwa ajili ya huzuni. Ee BWANA, ninakuita kila siku, ninakunyoshea wewe mikono yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nuru ya macho yangu imefifia kwa ajili ya huzuni. Ee bwana, ninakuita kila siku, ninakunyooshea wewe mikono yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jicho langu limefifia kwa ajili ya mateso BWANA, ninakuita kila siku; Ninakunyoshea Wewe mikono yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
macho yangu yamefifia kwa huzuni. Kila siku nakulilia, ee Mwenyezi-Mungu; ninakunyoshea mikono yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wenyeji wangu umewahamisha, nisiwaone, ukaniweka kuwa tapisho kwao hao; hivyo, nilivyofungwa, sitaweza kutoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jicho langu limefifia kwa ajili ya mateso BWANA, nimekuita kila siku; Nimekunyoshea Wewe mikono yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umewafanya warafiki zangu waniepuke, umenifanya kuwa chukizo kwao. Nimefungwa wala siwezi kutoroka.