Psalms 89:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Utenzi wa Ethani Mwezrahi) Ee Mwenyezi-Mungu, nitaimba fadhili zako milele; nitavitangazia vizazi vyote uaminifu wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitaimba kuhusu upendo mkuu wa Mwenyezi Mungu milele; kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Fadhili za Bwana nitaziimba milele; Kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, nitaimba fadhili zako milele; nitavitangazia vizazi vyote uaminifu wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Utenzi Wa Ethani Wa Jamii Ya Ezra) Nitaimba juu ya upendo mkuu wa BWANA milele; kwa kinywa changu nitajulisha uaminifu wako ujulikane kwa vizazi vyote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitaimba juu ya upendo mkuu wa bwana milele; kwa kinywa changu nitajulisha uaminifu wako ujulikane kwa vizazi vyote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Fadhili za BWANA nitaziimba milele; Kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, nitaimba fadhili zako milele; nitavitangazia vizazi vyote uaminifu wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Magawio ya Bwana nitayaimbia kale na kale,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Fadhili za BWANA nitaziimba milele; Kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mashairi ya Etani, Mwezra.