Psalms 89:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uliliponda joka Rahabu na kuliua; uliwatawanya adui zako kwa nguvu yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe ulimponda Rahabu kama mmoja wa waliochinjwa; kwa mkono wako wenye nguvu, uliwatawanya adui zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndiwe uliyemseta Rahabu akawa kama aliyeuawa, Kwa mkono hodari umewatawanya wakuchukiao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uliliponda joka Rahabu na kuliua; uliwatawanya adui zako kwa nguvu yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe ulimponda Rahabu kama mmojawapo wa waliochinjwa; kwa mkono wako wenye nguvu, uliwatawanya adui zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe ulimponda Rahabu kama mmojawapo wa waliochinjwa; kwa mkono wako wenye nguvu, uliwatawanya adui zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndiwe uliyemponda Rahabu akawa kama aliyeuawa, Kwa mkono hodari umewatawanya wakuchukiao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uliliponda joka Rahabu na kuliua; uliwatawanya adui zako kwa nguvu yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unayashinda hata majivuna yake bahari, mawimbi yake yakiumuka, unayatuliza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndiwe uliyemseta Rahabu akawa kama aliyeuawa, Kwa mkono hodari umewatawanya wakuchukiao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe unaamuru machafuko ya bahari; mawimbi yake yakiinuka, unayatuliza.