Psalms 89:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbingu ni zako na dunia ni yako pia; ulimwengu na vitu vyote vilivyomo wewe uliviumba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mbingu ni zako, nayo nchi pia ni yako, uliuwekea ulimwengu msingi pamoja na vyote vilivyomo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbingu ni mali yako, nchi nayo ni mali yako, Ulimwengu na vyote viujazavyo Ndiwe uliyeupiga msingi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbingu ni zako na dunia ni yako pia; ulimwengu na vitu vyote vilivyomo wewe uliviumba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mbingu ni zako, nayo nchi pia ni yako, uliuwekea ulimwengu msingi pamoja na vyote vilivyomo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mbingu ni zako, nayo nchi pia ni yako, uliuwekea ulimwengu msingi pamoja na vyote vilivyomo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbingu ni mali yako, nchi nayo ni mali yako, Ulimwengu na vyote viujazavyo Ndiwe uliyeupiga msingi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbingu ni zako na dunia ni yako pia; ulimwengu na vitu vyote vilivyomo wewe uliviumba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe ulimponda Rahabu, akaanguka kama mtu aumizwaye vitani, kwa mkono wako wenye nguvu ukawatapanya adui zako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbingu ni mali yako, nchi nayo ni mali yako, Ulimwengu na vyote viujazavyo Ndiwe uliyeupiga msingi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulimuponda nyama mukubwa Rahaba na kumwua; uliwatawanya waadui zako kwa nguvu yako.