Psalms 89:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mkono wako una nguvu, mkono wako una nguvu na umeshinda!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkono wako umejaa uwezo; mkono wako una nguvu, mkono wako wa kuume umetukuka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkono wako ni mkono wenye uweza, Mkono wako una nguvu, Mkono wako wa kuume umetukuka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mkono wako una nguvu, mkono wako una nguvu na umeshinda!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkono wako umejaa uwezo; mkono wako una nguvu, mkono wako wa kuume umetukuzwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkono wako umejaa uwezo; mkono wako una nguvu, mkono wako wa kuume umetukuzwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkono wako ni mkono wenye uweza, Mkono wako una nguvu, Mkono wako wa kuume umetukuka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mkono wako una nguvu, mkono wako una nguvu na umeshinda!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vilivyoko kaskazini navyo vilivyoko kusini wewe uliviumba, milima ya Tabori na ya Hermoni inalipigia Jina lako shangwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkono wako ni mkono wenye uweza, Mkono wako una nguvu, Mkono wako wa kuume umetukuka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe uliumba kaskazini na kusini; milima Tabori na Hermoni inakushangilia.