Psalms 89:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uadilifu na haki ni msingi wa utawala wako; fadhili na uaminifu vyakutangulia!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chako cha enzi; upendo na uaminifu vinakutangulia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chako, Fadhili na kweli zahudhuria mbele za uso wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uadilifu na haki ni msingi wa utawala wako; fadhili na uaminifu vyakutangulia!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chako cha enzi; upendo na uaminifu vinakutangulia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chako cha enzi; upendo na uaminifu vinakutangulia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chako, Fadhili na kweli zimo mbele za uso wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uadilifu na haki ni msingi wa utawala wako; fadhili na uaminifu vyakutangulia!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkono wako ni wenye uwezo sanasana, maganja yako nayo ni yenye nguvu, mkono wako wa kuume hutukuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chako, Fadhili na kweli zahudhuria mbele za uso wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukono wako unajaa nguvu, mukono wako una nguvu na umeshinda!