Psalms 89:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heri watu wanaojua kukushangilia, wanaoishi katika mwanga wa wema wako, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heri ni wale ambao wamejifunza kukusifu kwa shangwe, wanaotembea katika mwanga wa uwepo wako, Ee Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri watu wale waijuao sauti ya shangwe, Ee Bwana, huenenda katika nuru ya uso wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri watu wanaojua kukushangilia, wanaoishi katika mwanga wa wema wako, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Heri ni wale ambao wamejifunza kukusifu kwa shangwe, wanaotembea katika mwanga wa uwepo wako, Ee BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heri ni wale ambao wamejifunza kukusifu kwa shangwe, wanaotembea katika mwanga wa uwepo wako, Ee bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri watu wale waijuao sauti ya shangwe, Ee BWANA, waendao, katika nuru ya uso wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri watu wanaojua kukushangilia, wanaoishi katika mwanga wa wema wako, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wongofu unyoshao maamuzi ni msingi wa kiti chako cha kifalme, upole na welekevu huutangulia uso wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri watu wale waijuao sauti ya shangwe, Ee BWANA, huenenda katika nuru ya uso wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haki na sheria ndio musingi wa utawala wako; wema na uaminifu vinakutangulia!