Psalms 89:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe ndiwe fahari na nguvu yao; kwa wema wako twapata ushindi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa wewe ni utukufu na nguvu yao, kwa wema wako unatukuza pembe yetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana fahari ya nguvu zao ni Wewe, Na kwa radhi yako pembe yetu itatukuka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe ndiwe fahari na nguvu yao; kwa wema wako twapata ushindi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa wewe ni utukufu na nguvu yao, kwa wema wako unatukuza pembe yetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa wewe ni utukufu na nguvu yao, kwa wema wako unatukuza pembe yetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana fahari ya nguvu zao ni Wewe, Na kwa radhi yako pembe yetu itatukuka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe ndiwe fahari na nguvu yao; kwa wema wako twapata ushindi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jina lako wanalipigia vigelegele siku zote, maana kwa wongofu wako walipata ukuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana fahari ya nguvu zao ni Wewe, Na kwa radhi yako pembe yetu itatukuka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanafurahi muchana kutwa kwa sababu yako, na kukusifu kwa ajili ya haki yako.