Psalms 89:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, mlinzi wetu ni wako, mfalme wetu ametoka kwako ewe Mtakatifu wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naam, ngao yetu ni mali ya Mwenyezi Mungu, na mfalme wetu mali ya Aliye Mtakatifu wa Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana ngao yetu ina Bwana, Na mfalme wetu ni wake Mtakatifu wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, mlinzi wetu ni wako, mfalme wetu ametoka kwako ewe Mtakatifu wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naam, ngao yetu ni mali ya BWANA, aliye Mtakatifu Pekee wa Israeli ni mfalme wetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naam, ngao yetu ni mali ya bwana, na mfalme wetu mali ya Aliye Mtakatifu wa Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana ngao yetu ni BWANA, Na mfalme wetu ni wake Mtakatifu wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, mlinzi wetu ni wako, mfalme wetu ametoka kwako ewe Mtakatifu wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani utukufu wa nguvu zao ni wewe, Bwana. mapenzi yako ndiyo yatupayo kuyaelekeza mabaragumu yetu juu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana ngao yetu ina BWANA, Na mfalme wetu ni wake Mtakatifu wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe ndiwe utukufu na nguvu yao; kwa upendo wako tunapata ushindi.