Psalms 89:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Natamka kuwa fadhili zako zadumu milele; uaminifu wako ni thabiti kama mbingu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitatangaza kuwa upendo wako unasimama imara milele na uaminifu wako umeuthibitisha mbinguni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana nimesema, Fadhili zitajengwa milele; Katika mbingu utauthibitisha uaminifu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Natamka kuwa fadhili zako zadumu milele; uaminifu wako ni thabiti kama mbingu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitatangaza kuwa upendo wako unasimama imara milele na uaminifu wako umeuthibitisha mbinguni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitatangaza kuwa upendo wako unasimama imara milele na uaminifu wako umeuthibitisha mbinguni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana nimesema, Fadhili zitajengwa milele; Katika mbingu utauthibitisha uaminifu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Natamka kuwa fadhili zako zadumu milele; uaminifu wako ni thabiti kama mbingu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
vizazi na vizazi nitawajulisha kwa kinywa changu welekevu wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana nimesema, Fadhili zitajengwa milele; Katika mbingu utauthibitisha uaminifu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, nitayaimba mema yako kwa milele; nitatangaza uaminifu wako kwa vizazi vyote.