Psalms 89:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimempata Daudi, mtumishi wangu; nimemweka wakfu kwa mafuta yangu matakatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimemwona Daudi, mtumishi wangu, na nimempaka mafuta yangu matakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimemwona Daudi, mtumishi wangu, Nimempaka mafuta yangu matakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimempata Daudi, mtumishi wangu; nimemweka wakfu kwa mafuta yangu matakatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimempata Daudi mtumishi wangu, nimemtia mafuta yangu matakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimemwona Daudi, mtumishi wangu, na nimemtia mafuta yangu matakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimemwona Daudi, mtumishi wangu, Nimempaka mafuta yangu matakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimempata Daudi, mtumishi wangu; nimemweka wakfu kwa mafuta yangu matakatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kale ulisema katika njozi nao waliokucha, ukawaambia: Yuko mwenye nguvu, niliyempa ushindaji; niliyemchagua nimemkweza, awapite wote ukuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimemwona Daudi, mtumishi wangu, Nimempaka mafuta yangu matakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zamani ulisema katika maono, ukawaambia watumishi wako waaminifu: “Nimemupa nguvu shujaa mumoja, nimemwinua huyo niliyemuchagua kati ya watu.