Psalms 89:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maadui hawataweza kumshinda, wala waovu hawatamnyanyasa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna adui atakayemtoza ushuru, hakuna mtu mwovu atakayemtesa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Adui hatamwonea, Wala mwana wa uovu hatamtesa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maadui hawataweza kumshinda, wala waovu hawatamnyanyasa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna adui atakayemtoza ushuru, hakuna mtu mwovu atakayemwonea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna adui atakayemtoza ushuru, hakuna mtu mwovu atakayemwonea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Adui hatamwonea, Wala mwana wa uovu hatamtesa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maadui hawataweza kumshinda, wala waovu hawatamnyanyasa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maganja yangu yatamshikiza, kweli mkono wangu utamtia nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Adui hatamwonea, Wala mwana wa uovu hatamtesa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukono wangu wa nguvu utakuwa naye siku zote; mukono wangu mimi mwenyewe utamwimarisha.