Psalms 89:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitaimarisha nguvu na utawala wake, toka bahari hata mito.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitauweka mkono wake juu ya bahari, mkono wake wa kuume juu ya mito.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitaweka mkono wake juu ya bahari, Na mkono wake wa kuume juu ya mito.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitaimarisha nguvu na utawala wake, toka bahari hata mito.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitauweka mkono wake juu ya bahari, mkono wake wa kuume juu ya mito.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitauweka mkono wake juu ya bahari, mkono wake wa kuume juu ya mito.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitaweka mkono wake juu ya bahari, Na mkono wake wa kuume juu ya mito.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitaimarisha nguvu na utawala wake, toka bahari hata mito.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Welekevu wangu na upole wangu utamkalia, kwa nguvu ya Jina langu atalielekeza baragumu lake juu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitaweka mkono wake juu ya bahari, Na mkono wake wa kuume juu ya mito.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakuwa mwaminifu na mwema kwake. Kwa jina langu atapata ushindi mukubwa.