Psalms 89:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye ataniita: ‘Wewe ni Baba yangu, Mungu wangu, mwamba wa wokovu wangu.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye ataniita kwa sauti, ‘Wewe ni Baba yangu, Mungu wangu, Mwamba na Mwokozi wangu.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye ataniita, Wewe baba yangu, Mungu wangu na mwamba wa wokovu wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye ataniita: ‘Wewe ni Baba yangu, Mungu wangu, mwamba wa wokovu wangu.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye ataniita kwa sauti, ‘Wewe ni Baba yangu, Mungu wangu, Mwamba na Mwokozi wangu.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye ataniita kwa sauti, ‘Wewe ni Baba yangu, Mungu wangu, Mwamba na Mwokozi wangu.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye ataniita, Wewe ni baba yangu, Mungu wangu na mwamba wa wokovu wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye ataniita: ‘Wewe ni Baba yangu, Mungu wangu, mwamba wa wokovu wangu.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mikono yake nitaifikisha kwenye bahari, mkono wake wa kuume sharti uje kwenye mito mikubwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye ataniita, Wewe baba yangu, Mungu wangu na mwamba wa wokovu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitaongeza nguvu na utawala wake, kutoka bahari ya Mediteranea mpaka muto Furati.