Psalms 89:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nami nitamfanya kuwa mzaliwa wangu wa kwanza, mkuu kuliko wafalme wote duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitamteua pia awe mzaliwa wangu wa kwanza, aliyetukuka kuliko wafalme wote wa dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitamjalia kuwa mzaliwa wangu wa kwanza, Kuwa juu sana kuliko wafalme wa dunia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nami nitamfanya kuwa mzaliwa wangu wa kwanza, mkuu kuliko wafalme wote duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitamteua pia awe mzaliwa wangu wa kwanza, aliyetukuka kuliko wafalme wote wa dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitamteua pia awe mzaliwa wangu wa kwanza, aliyetukuka kuliko wafalme wote wa dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitamjalia kuwa mzaliwa wangu wa kwanza, Kuwa juu sana kuliko wafalme wote wa dunia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nami nitamfanya kuwa mzaliwa wangu wa kwanza, mkuu kuliko wafalme wote duniani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye ataniita na kuniambia: Baba yangu ni wewe, u Mungu wangu nao mwamba ulio wokovu wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitamjalia kuwa mzaliwa wangu wa kwanza, Kuwa juu sana kuliko wafalme wa dunia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye atasema, ‘Wewe ni baba yangu, Mungu wangu, mulima wa wokovu wangu.’