Psalms 89:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fadhili zangu nitamwekea milele, na agano langu kwake litadumu daima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitadumisha upendo wangu kwake milele, na agano langu naye litakuwa imara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata milele nitamwekea fadhili zangu, Na agano langu litafanyika amini kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fadhili zangu nitamwekea milele, na agano langu kwake litadumu daima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitadumisha upendo wangu kwake milele, na Agano langu naye litakuwa imara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitadumisha upendo wangu kwake milele, na agano langu naye litakuwa imara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata milele nitamwekea fadhili zangu, Na agano langu naye litadumu hata milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fadhili zangu nitamwekea milele, na agano langu kwake litadumu daima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi nami nitampa uzaliwa wa kwanza, na ukuu wa wafalme wa nchini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata milele nitamwekea fadhili zangu, Na agano langu litafanyika amini kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami nitamufanya kuwa muzaliwa wangu wa kwanza, mukubwa kuliko wafalme wote wa dunia.