Psalms 89:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitaudumisha daima ukoo wake wa kifalme, na ufalme wake kama mbingu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitaudumisha uzao wake milele, kiti chake cha utawala kama mbingu zinavyodumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wazao wake nao nitawadumisha milele, Na kiti chake cha enzi kama siku za mbingu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitaudumisha daima ukoo wake wa kifalme, na ufalme wake kama mbingu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitaudumisha uzao wake milele, kiti chake cha enzi kama mbingu zinavyodumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitaudumisha uzao wake milele, kiti chake cha enzi kama mbingu zinavyodumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wazao wake nao nitawadumisha milele, Na kiti chake cha enzi kama siku za mbingu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitaudumisha daima ukoo wake wa kifalme, na ufalme wake kama mbingu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kale na kale nitamwendea kwa upole wangu, nalo agano tuliloliagana, halitatanguka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wazao wake nao nitawadumisha milele, Na kiti chake cha enzi kama siku za mbingu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitamwonyesha wema wangu kwa milele, na agano langu kwake litadumu siku zote.