Psalms 89:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini wazawa wake wakiiacha sheria yangu, wasipoishi kadiri ya maagizo yangu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kama wanawe wataacha amri yangu na wasifuate sheria zangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanawe wakiiacha sheria yangu, Wasiende katika hukumu zangu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini wazawa wake wakiiacha sheria yangu, wasipoishi kadiri ya maagizo yangu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kama wanae wataacha amri yangu na wasifuate sheria zangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kama wanae wataacha amri yangu na wasifuate sheria zangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanawe wakiiacha sheria yangu, Wasiende katika hukumu zangu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini wazawa wake wakiiacha sheria yangu, wasipoishi kadiri ya maagizo yangu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mazao ya kuwa ya kale na kale ndiyo, nitakayompa, nazo siku za kiti chake cha kifalme zitakuwa kama za mbingu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanawe wakiiacha sheria yangu, Wasiende katika hukumu zangu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitaudumisha ukoo wake wa kifalme siku zote, nao ufalme wake kama mbingu.