Psalms 89:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kama wakizivunja kanuni zangu, na kuacha kutii amri zangu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakihalifu maagizo yangu na kutoshika amri zangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakizihalifu amri zangu, Wasiyashike maagizo yangu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kama wakizivunja kanuni zangu, na kuacha kutii amri zangu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama wakihalifu maagizo yangu na kutoshika amri zangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama wakihalifu maagizo yangu na kutoshika amri zangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakizivunja amri zangu, Wasiyashike maagizo yangu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kama wakizivunja kanuni zangu, na kuacha kutii amri zangu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watoto wake wakiyaacha Maonyo yangu, wasiendelee na kuyafanya yanyokayo machoni pangu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakizihalifu amri zangu, Wasiyashike maagizo yangu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Lakini wazao wake wakiiacha sheria yangu, wasipoishi kufuatana na maagizo yangu,