Psalms 89:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sitavunja agano langu naye, wala kubatili neno nililotamka kwa mdomo wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi sitavunja agano langu wala sitabadili lile ambalo midomo yangu imelitamka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi sitalihalifu agano langu, Sitalibadili neno lililotoka midomoni mwangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sitavunja agano langu naye, wala kubatili neno nililotamka kwa mdomo wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi sitavunja Agano langu wala sitabadili lile ambalo midomo yangu imelitamka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi sitavunja agano langu wala sitabadili lile ambalo midomo yangu imelitamka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi sitalivunja agano langu, Sitalibadili neno lililotoka midomoni mwangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sitavunja agano langu naye, wala kubatili neno nililotamka kwa mdomo wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini upole wangu sitawanyima, wala sitageuka kuwa mwongo, welekevu wangu ukiwaacha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi sitalihalifu agano langu, Sitalibadili neno lililotoka midomoni mwangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini sitaacha kumutendea mema Daudi, wala sitavunja uaminifu wangu kwake.