Psalms 89:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukoo wake utadumu milele; na ufalme wake kama jua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwamba uzao wake utaendelea milele, na kiti chake cha enzi kitadumu mbele zangu kama jua;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wazao wake watadumu milele, Na kiti chake kitakuwa kama jua mbele zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukoo wake utadumu milele; na ufalme wake kama jua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwamba uzao wake utaendelea milele na kiti chake cha enzi kitadumu mbele zangu kama jua;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwamba uzao wake utaendelea milele, na kiti chake cha enzi kitadumu mbele zangu kama jua;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wazawa wake watadumu milele, Na kiti chake cha enzi kuwa mbele yangu kama jua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukoo wake utadumu milele; na ufalme wake kama jua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno moja nimejiapia kwa utakatifu wangu, nami sitamwongopea Dawidi, ni lile la kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wazao wake watadumu milele, Na kiti chake kitakuwa kama jua mbele zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Nimeapa mara moja tu kwa utakatifu wangu; nami sitamwambia Daudi uongo.