Psalms 89:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini sasa ee Mungu, umemtupa na kumkataa, umejaa ghadhabu dhidi ya huyo uliyemweka wakfu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wewe umemkataa, umemdharau, umemkasirikia sana mpakwa mafuta wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walakini Wewe umemtupa na kumkataa, Umemghadhibikia masihi
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini sasa ee Mungu, umemtupa na kumkataa, umejaa ghadhabu dhidi ya huyo uliyemweka wakfu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wewe umemkataa, umemdharau, umemkasirikia sana mpakwa mafuta wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wewe umemkataa, umemdharau, umemkasirikia sana mpakwa mafuta wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini wewe umemtupa na kumkataa, Umemghadhibikia masihi wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini sasa ee Mungu, umemtupa na kumkataa, umejaa ghadhabu dhidi ya huyo uliyemweka wakfu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kitakaa na nguvu yake kale na kale kama mwezi. Naye shahidi alioko huko juu mawinguni ni mwelekevu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walakini Wewe umemtupa na kumkataa, Umemghadhibikia masihi wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utadumu milele kama mwezi unaokuwa mushuhuda mwaminifu asiyetoka katika anga.”