Psalms 89:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umefuta agano ulilofanya na mtumishi wako; umeitupa taji yake mavumbini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umelikana agano lako na mtumishi wako, na umelinajisi taji lake mavumbini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umechukizwa na agano la mtumishi wako, Umeinajisi taji yake na kuitupa chini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umefuta agano ulilofanya na mtumishi wako; umeitupa taji yake mavumbini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umelikana Agano lako na mtumishi wako na umeinajisi taji yake mavumbini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umelikana agano lako na mtumishi wako, na umeinajisi taji yake mavumbini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umechukizwa na agano la mtumishi wako, Umelinajisi taji lake na kulitupa chini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umefuta agano ulilofanya na mtumishi wako; umeitupa taji yake mavumbini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wewe umemtupa na kumkataa; yeye, uliyempaka mafuta, umemchafukia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umechukizwa na agano la mtumishi wako, Umeinajisi taji yake na kuitupa chini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini sasa, ee Mungu, umemutupa na kumukataa, umejaa kasirani juu ya huyo uliyemuchagua.